Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Solar sys.jpg|right|350px|thumb|Jua letu na sayari zake.]][[File:Sayari za Jua - mlingano ukubwa.png|350px|thumb|Sayari nne kubwa ziliundwa hasa na gesi, nyingine ni sayari ndogo kama dunia yetu za mwamba.<ref>Hand, Eric (January 20, 2016).</ref>]]
'''Mfumo wa Jua''' (''[[:en:solar system]]'') ni mpangilio wa [[Jua]] letu, [[sayari]] na [[sayari kibete]] zinazolizunguka pamoja na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] yao, [[asteroidi]], [[meteoridi]], [[kometi]] na [[vumbi la angani]], vyote vikishikwa na [[nguvu mvutano|nguvu ya mvutanograviti]] waya Jua.
 
[[Utaalamu]] kuhusu mfumo wa jua hujadiliwa katika [[fani]] ya [[astronomia]].
 
==Muundo wa mfumo wa Jua==
Karibu [[masi]] yote ni ya Jua lenyewe, likiwa na [[asilimia]] 99.86 za masi ya mfumo wake. Kwa hiyo sayari zote kwa pamoja na asteroidi ni asilimia 0.14 tu ya masi ya mfumo kwa jumla.
 
[[Umbali]] kati ya Jua na [[Dunia]] yetu ni takriban [[kilomita]] [[milioni]] [[mia moja na hamsini|150]]. Umbali huu unaitwa "[[kizio astronomia]]" ([[:en:astronomical unit]] AU). Sayari ya mbali zaidi ni [[Neptuni]] ambayo ipo katika umbali wa vizio astronomia [[thelathini|30]] kutoka Jua yaani ipo mara 30 mbali zaidi kutoka kwenye Jua moakakuliko DunianiDunia. Magimba ya nje sana yanazunguka juaJua kwa umbali wa vizio astronomia [[hamsini|50]] au zaidi.
 
Pamoja na sayari kuna [[idadi]] kubwa ya [[violwa]] vingine. Vingi ni vipande vidogo vya [[mwamba]] vinavyokusanyika katika kanda 3 zenye [[umbo]] la mwiringo ambazo ni [[ukanda wa asteroidi]], [[ukanda wa Kuiper]] na [[wingu la Oort]].
 
Sayari hupatikana katika vikundi viwili. maraMara nyingnyingi zinaitwa "Sayari za ndani" na "Sayari za nje".Sayari nne za ndani ni Utaridi, Zuhura, Dunia na Mirihi ambazo ni ndogo na ni sayari za mwamba kama Dunia.
 
Baada ya [[njia mzingo|obiti]] ya Mirihi kuna pengo lenye upana wa vizio astronomia zaidi ya [[tatu]] na [[nusu]] hadi [[Mshtarii]]. Katika pengo hili unazungukaupo ukanda wa asteroidi wenye violwa [[lakhi|laki]] kadhaa pamoja na sayari kibete ya [[Ceres]].
 
Nje ya ukanda wa asteroidi hufuata kundi la sayari za gesi ambazo ni kubwa kushinda sayari za ndani. Sehemu kubwa ya masi yakeyao si mwamba bali ni elementelementi zana kampaundi zinazopatikana duniani kama gesi hasa hidrojeni(H), heliamu(He), Amonia(NH3NH<sub>3</sub>) na methani(CH4CH<sub>4</sub>). Gesi hizi zimeganda na kuwa imara kutokana na shinikizo kubwa na [[baridi]] kali.
 
== Sayari za jua letu ==
Kuna magimba 8 yanayozunguka Jua letu yanyoitwayanayoitwa sayari. Sayari yaza kwanza kuanzia Utaridi(ing. ''Mercury'') hadi [[Zohali]] (ing. Saturn) zinaonekana kwa macho. Tangu zamani ziilpewazilipewa majina na watu. Sayari za mbali zaidi ziligunduliwa tu baada ya kupatikana kwa [[darubini]]. Hadi mwaka [[2006]] [[Pluto]] iliyopo nje ya mzingo wa Neptuni ilihesabiwa kuwa sayari, lakini baada ya azimio la [[Umoja wa Wanaastronomia|Umoja wa Wanaastronomia,]] Pluto inaitwa sasa "[[sayari kibete“ pamoja na nyinginekibete]]“, si sayari kamili tena.
 
Sayari ambazo zipo katika mfumo wa Jua ni kama zifuatazo:
 
([[Namba]] zinazotaja sifa mbalimbali za sayari zinaonyeshazinarejelea [[kipimo]] kulingana na [[tabia]] za duniaDunia yetu ambayo ni "1". Kuhusu ma[[jina]] ya sayari kadhaa kuna mkanganyiko katika [[kamusi]] na [[vitabu]]. Kama huna jina mbadala au umbo toafautitofauti, lipolimewekwa katika mabano kama (jina).)
{| class="toccolours" border=1 cellspacing=0 cellpadding=2 style="text-align:center; border-collapse:collapse;"
|+align=bottom style="text-align:left;"|
<sup>*</sup> <small>'''Utaridi''' ni jina la sayari ya kwanza kutokana na [[lugha]] ya [[Kiarabu]] na pia katika [[mapokeo]] ya [[Kiswahili]] tangu kale. Vitabu vingine hutumia neno "Zebaki" ambalo pia lina [[asili]] ya Kiarabu likimaanisha [[metali]] mojawapo; inaonekana limepatikana kama [[tafsiri]] ya jina la [[Kiingereza]] la sayari ya kwanza "Mercury" bila kujua [[historia]] ya majina ya sayari sita ya kwanza yaliyoingia katika Kiswahili kutoka katika lugha ya Kiarabu.</small> <ref>kuhusu majina ya sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia, linganisha [[Jan Knappert]], Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> <br /><small>
<sup>**</sup> '''Zuhura - Ng'andu''' ni sayari ambayo hutambulika kwa jina la [[Kibantu]](Ng'andu) pamoja na jina lenye asili ya Kiarabu (Zuhura)<br />
<sup>***</sup> Tazama makala ya '''[[Dunia]]''' kwa ajili ya namba halisi. Neno "[[ardhi]]" hutumika na waandishi kadhaa badala ya "dunia" wakitaka kutaja sayari ya tatu.</small>
|- bgcolor=#ccccff
Mstari 116:
Katika miaka iliyopita wanaastronomia wamejadili uwezekano wa kuwepo kwa sayari za ziada katika umbali mkubwa. Imetambuliwa ya kwamba muundo wa mfumo wa jua ni mkubwa kuliko wataalamu wa kale walivyofikiri.<ref>[http://iopscience.iop.org/article/10.1088/0004-637X/781/1/4/meta K L Luhmann: A SEARCH FOR A DISTANT COMPANION TO THE SUN WITH THE WIDE-FIELD INFRARED SURVEY EXPLORER], tovuti ya The Astrophysical Journal, Volume 781, Number 1</ref>
 
Tangu kutambuliwa wa [[ukanda wa Kuiper]] ambamo Pluto ni sehemu tu inajulikana ya kwamba kuna magimba ya angani mengi yasiyoonekana kwa kirahisi kwa sababu yanapokea na kuakisi nuru kidogo sana kutoka kwenye Jua.
 
Kuhusu magimba ya angani yaliyo mbali zaidi kuliko ukanda wa Kuiper hakuna uhakika bado, lakini tangu mwaka 2012 vipimo vyipyavipya vilisababisha kutokea kwa nadharia tete kuhusu [[Sayari Tisa|sayari ya tisa]] katika umbali mkubwa sana ambayo haikutazamiwa bado.<ref>[https://arxiv.org/PS_cache/arxiv/pdf/1004/1004.4584v1.pdf Persistent Evidence of a Jovian Mass Solar Companion in the Oort Cloud; John J. Matese and Daniel P. Whitmire]</ref>
 
Mwaka 2017 kilitokea [[kiolwa cha anga]] kutoka nje ya mfumo wa Jua letu. Kiolwa hiki kilichoitwa [[ʻOumuamua]] kilifika kwa njia isiyolingana na bapa la sayari za mfumo wa Jua, tena kwa kasi kubwa mno hivyo kilionekana si sehemu ya mfumo wetu.
Mstari 127:
Mfumo wa Jua ulianza kutokea zamani sana na wataalamu wanaendelea kujadili nadharia zinazoeleza tabia zake kulingana na kanuni za fizikia.
 
Nadharia inayokubaliwazinazokubaliwa na wataalamu wengi ni hivi<ref>Linganisha [http://atropos.as.arizona.edu/aiz/teaching/nats102/mario/solar_system.html Solar System], tovuti ya Chuo Kikuu cha Arizona, idara ya astronomia</ref>:
* Takriban miaka [[bilioni]] 4.5 iliyopita kulikuwa na [[wingu la molekuli|wingu kubwa la molekuli]] lililozunguka kitovu cha galaksi yetu yaani [[Njia Nyeupe]]. Wingu hilo lilifanywa hasa na [[hidrojeni]] na [[heli|heliamu]] (zaidi ya asilimia 99), pamoja na viwango vidogo vya [[elementi]] nzito zaidi. Hidrojeni na heli zilitokea katika [[mlipuko mkuu]] ulioanzisha ulimwengu wetu. Elementi nzito zilitokea katika nyota zilizowahi kutangulia na kulipuka kabla ya kuzaliwa kwa Jua letu na kusambaza mata zao kama vumbi ya angani. Ndani ya wingu kubwa kulikuwa na sehemu ambamo molekuli ziliongezeka na hivyo kuunda uga wa [[graviti]] iliyoendelea kuvuta mata nyingine, kuongeza tena graviti ya sehemu hizi kadiri zilivyopokea mata zaidi. Miendo ndani ya wingu labda ilianzishwa na mishtuko ya [[supanova]] ya karibu. Lakini hii ni nadharia tete tu hadi sasa.
* Sasa sehemu moja ya wingu kubwa ambako molekuli zinaendelea kukusanyika inaanza kuzunguka kwenye mhimili wake na kuongeza mzunguko huo pamoja na ongezeko la graviti. Graviti hiyo inaendelea kuvuta molekuli za eneo kubwa zaidi hadi diski ya uongezekaji ''(ing. accretion disk)'' inatokea. Hapo masi kubwa inaelekea kukusanyika katika kitovu cha diski ambako shinikizo na jotoridi zinaanza kupanda. Kadiri atomi zinavyokazwa na graviti na jotoridi kuwa juu, mchakato wa myeyungano wa kinyuklia unaanza katika kitovu na hapo nyota changa inatokea.
*[[Myeyungano wa kinyuklia]] unasababisha [[mnururisho]] unaoelekea nje. Mnururisho huu ni kani yenye mwelekeo kinyume cha graviti. Hapo nyota haikazwi zaidi.i Hivyo nyota inaingia katika hali thabiti ya uwiano baina ya graviti inayotaka kukaza mata yake kwenye kitovu na shinikizo la mnururisho linaloelekea kinyume.
* Ndani ya mata iliyobaki kwenye diski nje ya kiini cha nyota changa kuna sehemu ambapo molekuli zinakazana na kuunda viini vya sayari ''(ing. planetesimal)''. Viini vikubwa zaidi vinavuta tena viini vidogo na kufanya idadi ya viini kupungua ilhali viini vinaungana. Vinavyobaki kukuahukua na kuongeza masi zake na ndipo chanzo cha sayari zetu.
* Tabia za sayari zinatokea tofauti kutegemeana na umbali wa Jua. Elementi nzito zaidi zinakusanyika karibu na Jua. Kinyume chake, elementi nyepesi zinasukumwa na [[upepo wa Jua]] zinaanza kukusanyika kwa umbali mkubwa zaidi. Kwa hiyo sayari zilizo karibu na Jua kama Utaridi, Zuhura, Dunia na Mirihi ni sayari za miamba, zinafanywa na elementi nzito. Sayari zilizo mbali na Jua kama Mshtarii, Zohali, Uranusi na Neptuni ni sayari za gesi, zinafanywa na elementi nyepesi.
 
==Marejeo==