Aina za maneno : Tofauti kati ya masahihisho

1,843 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
Kaondosha yaliyomo
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 105.162.224.250 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Esteban16
Tag: Rollback
Kaondosha yaliyomo
Mstari 1:
'''Aina za maneno''' ni [[dhana]] au [[maana]] ya [[neno|neno/maneno]]. Pia aina za maneno huhusisha mgawanyo wa maneno hayo kulingana na matumizi yake.
 
Kwanza neno ni [[umbo]] lenye maana ambalo lina nafasi pande [[mbili]]. Neno ni [[silabi]] au mkusanyo wa silabi wenye kubeba au kuleta maana fulani.
 
==Aina za maneno==
#[[Nomino]] (alama yake ki[[isimu]] ni: ''''N'''')
#[[Viwakilishi]] (alama yake kiisimu ni: ''''W'''')
#[[Vivumishi]] (alama yake kiisimu ni: ''''V'''')
#[[Vitenzi]] (alama yake kiisimu ni: ''''T'''')
#[[Vielezi]] (alama yake kiisimu ni: ''''E'''')
#[[Viunganishi]] (alama yake kiisimu ni: ''''U'''')
#[[Vihisishi]] au Viingizi(alama yake kiisimu ni: ''''I'''')
#[[Vihusishi]] (alama yake kiisimu ni 'H')
===Nomino===
Nomino hufanya [[kazi]] ya kutaja [[jina]] la [[mtu]], [[kitu]] au [[mahali]]. Kwa mfano: [[baba]], [[Tanzania]], [[ugonjwa]] n.k.
====Aina za nomino====
Kuna aina nne za nomino:
* 1. nomino za kawaida. Kwa mfano: baba, [[mama]]
* 2. nomino za kipekee. Kwa mfano: Elisha, Angela, Naomi, Christopher
* 3. nomino za jamii. Kwa mfano: [[mkutano]]
* 4. nomino za dhahania. Kwa mfano: [[malaika]]
 
===Viwakilishi===
Viwakilishi ufanya kazi ya kusimama badala ya jina au nomino.
 
====Aina za viakilishi====
Kuna aina tisa za viwakilishi:
* 1. viwakilishi vya nafsi. Kwa mfano: mimi
* 2. viwakilishi vya kuonesha. Kwa mfano: wale
* 3. viwakilishi vya kumiliki. Kwa mfano: wangu
* 4. viwakilishi vya idadi. Kwa mfano: wachache
* 5. viwakilishi vya kuuliza. Kwa mfano: yupi
* 6. viwakilishi vya kipekee. Kwa mfano: mwenyewe
* 7. viwakilishi vya a-unganifu. Kwa mfano: la baba
* 8. viwakilishi vya sifa. Kwa mfano: mfupi
* 9. viwakilishi vya amba\urejeshi. Kwa mfano: ambalo
 
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]
*[[Neno]]
 
{{Aina za maneno}}
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Isimu]]
[[Jamii:Kiswahili]]
3

edits