Tofauti kati ya marekesbisho "Kimondo cha Mbozi"

no edit summary
d (Protected "Kimondo cha Mbozi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
 
Wenyeji wa eneo walijua kimondo hiki tangu muda mrefu; kilielezwa kisayansi mara ya kwanza mwaka 1930 na wakati ule hapakuwa na dalili za [[kasoko]]; kwa hiyo inawezekana ya kwamba ama kilifika kwenye uso wa Dunia kwa [[pembe butu]] sana na kuvingirika hadi kukaa au muda wa kugonga uso wa dunia ni mrefu sana hadi dalili zote za kasoko asilia zilipotea tayari kutokana na [[mmomonyoko]].
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==