Tofauti kati ya marekesbisho "Kimondo cha Mbozi"

no edit summary
[[Picha:kimondombozi.jpg|thumb|200px|Kimondo cha Mbozi]]
{{coord|9|06|28|S|33|02|14|E|display=title}}
 
 
'''Kimondo cha Mbozi'''<ref>Wakati mwingine kinatajwa kama "Mbosi meteorite" kwa kufuata tahajia ya Kijerumani ya jina la Mbozi</ref> ni [[kimondo]] ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa [[Vwawa]]. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa tkriban [[tani]] 16, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Songwe]], [[Tanzania]].