Kimondo cha Mbozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
[[Picha:kimondombozi.jpg|thumb|200px|Kimondo cha Mbozi]]
'''Kimondo cha Mbozi'''<ref>Wakati mwingine kinatajwa kama "Mbosi meteorite" kwa kufuata tahajia ya Kijerumani ya jina la Mbozi</ref> ni [[kimondo]] ambacho kimeanguka kutoka angani[[anga-nje]] karibu na mji wa [[Vwawa]]. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa tkriban [[tani]] 16, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Songwe]], [[Tanzania]].
 
Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.