Mambo Huangamia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
No edit summary
Mstari 1:
'''Mambo Huangamia''' (kwa [[Kiingereza]] "Things Fall Apart") ni [[riwaya]] iliyoandikwa na [[Chinua Achebe]]. Ilitolewa mwaka wa [[1958]]. Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na ''[[Hakuna Starehe Tena]]'' (1960) na ''[[Mshale wa Mungu]]'' (1964).
 
Kitabu hicho alichokiandika mwishoni mwa [[miaka ya 1950]] kilitolewa mwaka wa [[1958]] na kumpatia jina kubwa duniani. Hicho, kinaaminika ndicho kitabu chake bora zaidi, ni kitabu kilichosomwa kwa wingi zaidi katika vitabu vya [[tamthiliya ya Kiafrika]].<ref>Franklin, Ruth. [http://www.newyorker.com/arts/critics/books/2008/05/26/080526crbo_books_franklin?currentPage=all "After Empire: Chinua Achebe and the Great African Novel"]. ''[[The New Yorker]]'', 26 May 2008. Retrieved 7 December 2010.</ref>
 
Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na ''[[Hakuna Starehe Tena]]'' (1960) na ''[[Mshale wa Mungu]]'' (1964).
 
== Mkondo wa hadithi ==
[[Mhusika]] mkuu anaitwa [[Okonkwo]], [[tajiri]] katika [[kijiji]] cha [[Umuofia]]. Huyo Okonkwo hufuata vizuri sana [[mila]] na [[desturi]] za Kiigbo vizuri sana[[Waigbo]] ili kumshinda babake[[baba]] yake ambaye ni mduniduni.

Katika kufuata hizo mila alifika hatua ya kumuua [[mwana]] wake wa kambo na wanakijiji wakakubali. Siku moja, lakini, Okonkwo kwa bahati mbaya alimuua mwanakijiji mwingine na sasa akahukumiwa kuondoka kijijini kwake kwa miaka [[Saba (namba)|saba]] zinavyoamuru mila za kijiji.

Huko uhamishoni Okonkwo alikutana na [[wamisionari]] [[Wazungu]], akasikitika sana kugundua mwana wake mwenyewe aliacha mila za Kiigbo na kukubali [[dini]] ya [[Ukristo]].

Okonkwo akirudi kijijini baadaye akakuta hata [[maisha]] ya kijijini yameathiriwa na hiyo dini mpya. Akaanza kuupigiakuupiga [[vita]] Ukristo, hatimaye lakini aliona kuwa haiwezekani kurudi kwa maisha ya kimila [[Kujiua|akajiua]] kwa kujinyonga.
 
== Marejeo ==