Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 85.203.21.41 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na ChriKo
Tag: Rollback
 
Mstari 1:
[[Picha:Kilimanjaro forest.jpg|thumb|Msitu wa [[Kilimanjaro (Volkeno)|Kilimanjaro]], nchini [[Tanzania]].]]
[[Picha:Orman.JPG|right|thumb|220px|Msitu mwingine.]]
[[File:Stara planina hgdusveuiegegiwhegdudhsasumasuma.jpg|thumb|Msitu wa [[Stara Planina]], [[Serbia]].]]
[[Picha:Tropical forest.JPG|thumb|Msitu wa hgjj[[tropiki]].]]
'''Msitu''' ni mkusanyiko wa [[uoto asilia]] unaojumuisha [[miti]] mingi ya aina mbalimbali (kwa mfano: [[mipingo]], [[mikoko]] n.k.) [[mimea]] na [[nyasi]] ambazo huweza kuwa fupi au ndefu.
 
Mstari 16:
 
==Umuhimu wa misitu==
Mara nyingi [[wanyama]] mbalimbali, wakubwa kwa wadogo, huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yaojjjbvyao kwa [[malazi]] na [[chakula]].
 
Hata hivyo maisha ya [[binadamu]] hutegemea [[mazingira]] yake yanayomzunguka katika kujikimu kwani kupitia misitu [[mvua]] hunyesha na hivyo kusababisha ggbhbbnnhustawiustawi na ongezeko la [[chakula]].na kuepusha baa la njaa
 
Ni kwamba [[asilimia]] kubwa ya watu hutegemea [[kilimo]] ili kujipatia mahitaji yao ya kila siku, hasa katika nchi za [[Afrika]] ambazo ziko nyuma sana katika nyanja za utumiaji wa [[teknolojia]] za kisasa kama utumiaji wa [[zana za kilimo]], k.mf. [[matrekta]].plau,mashine za kuvunia mazao.