Voyager 1 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
Voyager 1 imeshapita katika [[Ukanda wa Kuiper]] ikieleka sasa kwenda [[wingu la Oort]]. Imeshapita eneo la [[heliosferi]].
 
Voyager 1 inaendelea huko gizani na mwezi wa FebruariMei 20172019 ilifika umbali wa [[km]] bilioni 2021.6 au [[vizio astronomia]] (umbali kati ya juaJua na duniaDunia) 138145<ref>[https://voyager.jpl.nasa.gov/mission/status/ Mission Status], tovuti ya voyager.jpl.nasa.gov (Jet Propulsion Labaroty, CALTECH, Marekani), iliangaliwa 3 Mei 2019</ref>. Bado inatuma data kuhusu [[uga sumaku]] ya juaJua. Watafiti kutoka Ugiriki (Dialynas Kostas na wengine) walitumia data zake pamoja na [[Voyager 2]] na [[Cassini-Huygens|Cassini]] kusema kumbe heliosferi ina umbo la tufe bila mkia mkubwa jinsi iliyoaminiwa awali.<ref>[Nature.com/articles/s41550-017-0115 Hitimisho la utafiti wa Kostas]</ref>
 
=== Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1 ===