Tofauti kati ya marekesbisho "Voyager 1"

15 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga-nje katika [[mfumo wa juaJua]] letu hadi [[anga-nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.
 
==Chomboanga cha mbali kutoka dunia==
Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na duniaDunia yaani 123.5145 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 1821.356; nuru ya juaJua inahitaji zadi ya masaa 1720 kufikia voyagerVoyager 1 (hali ya DesembaMei 20122019).
 
Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda ya heliosheath[[heliosferi]] penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[Jua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa juaJua letu kabisa na kuingia anga-nje kati ya nyota.
 
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za JupiterMshtarii na SaturnZohali na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[plutoni]] nururifu zinazozidi kufifia. Imekadiriwa kwamba kifaa cha mwisho kinachoweza kupima data kitazimika mwaka 2013.
 
==Kupita mipaka ya mfumo wa jua==
Voyager 1 imeshapita katika [[Ukanda wa Kuiper]] ikieleka sasa kwenda [[wingu la Oort]]. Imeshapita eneo la [[heliosferi]].
 
Voyager 1 inaendelea huko gizani na mwezi wa Mei 2019 ilifikailifikia umbali wa [[km]] bilioni 21.6 au [[vizio astronomia]] (umbali kati ya Jua na Dunia) 145<ref>[https://voyager.jpl.nasa.gov/mission/status/ Mission Status], tovuti ya voyager.jpl.nasa.gov (Jet Propulsion Labaroty, CALTECH, Marekani), iliangaliwa 3 Mei 2019</ref>. Bado inatuma data kuhusu [[uga sumaku]] ya Jua. Watafiti kutoka Ugiriki (Dialynas Kostas na wengine) walitumia data zake pamoja na [[Voyager 2]] na [[Cassini-Huygens|Cassini]] kusema kumbe heliosferi ina umbo la tufe bila mkia mkubwa jinsi iliyoaminiwa awali.<ref>[Nature.com/articles/s41550-017-0115 Hitimisho la utafiti wa Kostas]</ref>
 
=== Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1 ===
</gallery>
 
=== Zohali (Saturn) ===
<gallery>
image:Crescent Saturn as seen from Voyager 1.jpg|''Voyager 1'' image of Saturn from 5.3 million km four days after its closest approach.