Voyager 1 : Tofauti kati ya masahihisho

231 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Animation of Voyager 1 trajectory.gif|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 ilipopita kwenye sayari kubwa hadi mwaka 1981<br>{{legend2|magenta| ''Voyager 1'' }}{{·}}{{legend2|Royalblue|[[Dunia]]}}{{·}}{{legend2| Cyan |[[Mshtarii]]}}{{·}}{{legend2|Lime|[[Zohali]]}}{{·}}{{legend2| Yellow |[[Jua]] }}]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga-nje katika [[mfumo wa Jua]] letu hadi [[anga-nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.
 
==Chomboanga cha mbali kutoka duniaDunia==
Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na Dunia yaani 145 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 21.6; nuru ya Jua inahitaji zadi ya masaa 20 kufikia Voyager 1 (hali ya Mei 2019).
 
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Mshtarii na Zohali na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[plutoni]] nururifu zinazozidi kufifia. Imekadiriwa kwamba kifaa cha mwisho kinachoweza kupima data kitazimika mwaka 2013.
 
==Kupita mipaka ya mfumo wa juaJua==
Voyager 1 imeshapita katika [[Ukanda wa Kuiper]] ikieleka sasa kwenda [[wingu la Oort]]. Imeshapita eneo la [[heliosferi]].