Kundi la majarra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kundi la galaksi''' (ing. [[:en:galaxy group|galaxy group]]) ni idadi ya [[galaksi]] zinazoshikamana katika [[anga ya ulimwengu-nje]]. Maana zinaathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao. Katika mpangilio huu ni hadi galaksi 50 zinazotazamiwa kuwa kundi.
 
Kama idadi ya galaksi zinazoshikamana ni kubwa zaidi jumla hii ni [[fundo la galaksi]].
Mstari 5:
Galaksi za kundi moja zinaenea katika nafasi yenye kipenyo cha takriban miaka ya nuru milioni 10 hivi; masi ya galaksi zote kwa pamoja ndani ya kundi ni hadi [[masi za Jua]] 10<sup>13</sup>.<ref>{{cite web|url=http://csep10.phys.utk.edu/astr162/lect/gclusters/groups.html|title=Groups of Galaxies|publisher=''University of Tennessee, Knoville''|author=UTK Physics Dept|accessdate=September 27, 2012}}</ref>
 
Galaksi yetu ya [[Njia Nyeupe]] ni sehemu ya [[kundi janibu la galaksi]] pamoja na galaksi 40 hivi nyingine.<ref>{{cite web|title=The Local Group|url= http://www.ast.cam.ac.uk/~mike/local_more.html|author=Mike Irwin|accessdate=2009-11-07}}</ref> Pamoja na Njia Nyeupe kuna [[galaksiGalaksi ya Andromeda]] (inaitwa pia M31) katika kundinyota [[Mara (kundinyota)|Mara]], ya M33 katika [[Pembetatu (kundinyota)|Pembetatu]] na galaksi ndogo kama [[Mawingu ya Magellan]].