Kundi la majarra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Kundi la galaksi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hubble views bizarre cosmic quartet HCG 16.jpg|300px|thumb|Kundi la galaksi HCG 16, ilivyoonekana kwa darubini ya Hubble]]
'''Kundi la galaksi''' (ing. [[:en:galaxy group|galaxy group]]) ni idadi ya [[galaksi]] zinazoshikamana katika [[anga-nje]]. Maana zinaathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao. Katika mpangilio huu ni hadi galaksi 50 zinazotazamiwa kuwa kundi.