Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Sternbild orion.jpg|thumb|350px|Nyota za kundinyota Jabari (''Orion'') angani]]
[[Picha:Orion kundinyota.jpg|thumb|350px|Baada kuunganisha nyota za Jabari (Orion) kwa kuwaza mistari kunajitokeza picha ya mvindaji]]
[[Picha:Orion Picha.jpg|thumb|300px|right|Jabari (Orion) kama mvindaji alivyowazwa na [[Johann Bayer]] wakati wa karne ya 17]]
Mstari 6:
==Kusudi la kupanga nyota katika kundinyota==
Tangu zamani [[watu]] walitazama nyota kama [[nukta]] na nyota za jirani kama kundi. Waliwaza kundinyota kuwa [[picha]] wakichora mistari kati yake, hivyo kuona picha za watu, [[wanyama]] au [[miungu]] yao. Kundinyota zinazojulikana sana ni kama vile [[Jabari (kundinyota)|Jabari]] (''[[:en:Orion]]''),
Hali halisi nyota hizi hazina uhusiano kati yake, zinaonekana tu kama kundi kwa mtazamaji aliye duniani lakini haziko mahali pamoja katika [[anga
Hivyo kundinyota ni tofauti na [[fungunyota]] ''([[:en:star cluster]])'' ambalo ni idadi kubwa ya nyota zilizopo kweli karibu eneo moja angani. Ila tu kwa [[jicho]] tupu fungunyota linaonekana kama nyota moja tu au halionekani kutokana na [[umbali]], zimetambuliwa kwa [[darubini]] tu. [[Kilimia]] (''Pleiades'') ni fungunyota la pekee linaloweza kutambuliwa bila msaada wa mitambo na hivyo ni maarufu kama kundinyota pia.
[[Elimu]] hii ilikuwa msaada hasa kwa watu waliosafiri wakati wa [[usiku]] kama [[mabaharia]] na pia [[wafugaji]] katika [[mazingira]] ya [[Jangwa|jangwani]]. Walizoea kutumia nyota kama maelekezo ya njia zao.
Mstari 21:
Picha za kundinyota la [[Jabari (kundinyota)|Jabari]] (''Orion'') katika makala hii zinaonyesha njia kuanzia kutazama nyota angani hadi kufikia wazo la kundinyota ambalo ni picha ya mtu. <br/>
1. Jabari inaonekana vizuri kwa sababu, kwanza kuna nyota tatu zinazokaa
2. Watu waliunganisha nyota kwa kuwaza mistari wakaanza kumwona mtu. Nyota tatu za katikati(δ, ε, ζ) ziliitwa ukanda, nyota mbili za kung'aa za juu (α, γ) zikawa mabega ya mtu na nyota mbili za chini (β,κ) miguu yake. Nyota mbili au tatu chini ya "ukanda" (ι, θ) zikatajwa kama upanga unaofungwa kwenye ukanda. Nyota nyingine hafifu zaidi zikaunganishwa katika picha hii: nyota za "π" 1,2,3 zikawa kama ngao; λ kama kichwa.<br/>
3. Wasanii walichora picha kama ile ya juu upande wa kushoto (nyota kadhaa zilitiwa rangi katika makala hii kwa kuonekana vizuri zaidi si picha yenyewe). Hivyo katika mawazo ya watu
==Historia ya kundinyota==
Mstari 46:
==Matumizi ya kundinyota katika astronomia==
[[Picha:Constellations ecliptic equirectangular plot.svg|400px|thumb|Mpangilio wa anga lote kwa makundinyota kufuatana na Delporte na [[Ukia]]]].
Astronomia imeshatambua
Mfano mashuhuri ni nyota iliyo karibu na Jua letu katika [[anga ya ulimwengu]] ambayo ni [[Rijili Kantori]].
Wanaastronomia wanatumia zaidi mfumo wa digrii zinazolingana na utaratibu wa [[latitudo]] na [[longitudo]] hapa duniani wakitaka kutaja mahali kamili pa nyota. Lakini hadi leo kundinyota ni msaada wa kujua eti nyota fulani au nyotamkia inapatikana katika eneo gani kwenye anga ya usiku. Hii ni sawa na kusema "mji fulani uko kaskazini-magharibi ya Afrika" kabla ya kutaja kikamilifu mahali pake kwa longitudo na latitudo.
Mstari 74:
*[[Hutu (kundinyota)|Hutu (leo: Samaki)]] (ing. [[:en:Pisces|Pisces]])
Katika unajimu wa siku hizi majina mengi ya kimapokeo yamesahauliwa katika unajimu
# Kondoo (Aries): Machi 21 – Aprili 19
# Ng’ombe (Taurus): Aprili 20 – Mei 21
|