Mhindi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa maana tofauti ya jina hili tazama [[Muhindi]] na [[Uhindi]]</sup>
[[Image: Mhindi Indus.png |thumb|right|400px390px|Nyota za kundinyota Mhindi (Indus) katika sehemu yao ya angani]]
'''Mhindi''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''[[:en:Indus (constellation)|Indus]]'') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Indus" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Indi" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Indi, nk.</ref> ni [[jina]] la [[kundinyota]] linaloonekana katika [[angakusi]] ya [[Dunia]] yetu.
 
Mstari 7:
 
==Jina==
Mhindi linapatikanainapatikana kati ya makundinyota yaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote katika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. HazikutajwaNyingi hazikutajwa katika vitabu vya Wagiriki wa Kale au Waarabu. Kundinyota hili lilielezwalilibuniwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwalikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]] na kupokelewa katika “Uranometria” ya [[Johann Bayer]]..
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “De Indiaen” (yaani Mhindi) lililotajwa baadaye kwa jina la [[Kilatini]] „Indus“. Jina hili alilitumia kama kumbukumbu ya watu aliowaona mara ya kwanza katika maisha yake kwenye eneo la Bahari ya Hindi pale Madagaska na kwenye visiwa vya Indonesia. Baadaye alichukuliwa mara kadhaa kwa maana ya “Wahindi Wekundu” yaani Maindio wa Marekani ambayo si maana ya kiasili.
Mstari 14:
 
==Nyota==
Mhindi haina nayota angavu sana. Nyota angavu zaidi ni α Alfa Indi yenye [[uangavu unaoonekana|mwangaza unaoonekana]] wa [[mag]] 3.1 ikiwa na umbali kutuka duniani wakutoka Dunia wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 101<ref>[ http://stars.astro.illinois.edu/sow/persian.html The Persian (Alpha Indi)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017; Kaler anatumia kwa nyota hii jina la Kichina “The Persian” isiyo kawaida</ref>. Beta Indi ina mag 3.7 ipo kwa umbali wa miakanuru 600 kutoka kwetu. Delta Indi ina mag 4.4 na ipo umbali wa miakanuru 185.
 
Epsilon Indi yenye mag 4.69 ni kati ya nyota zilizo karibu sana na Dunia ikiwa na umbali wa miakanuru 11.8.