Tofauti kati ya marekesbisho "Kaa (kundinyota)"

no edit summary
[[Picha:Cancer constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya Kaa - Cancer jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
 
'''Kaa''' (pia: Saratani au <small>[[lat.]]</small>&<small>[[ing.]]</small> '''[[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni [[kundinyota]] la [[zodiaki]]. Ni moja ya kundinyotamakundinyota zinazotambuliwayanayotambuliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
[[Nyota]] za Kaa huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Kaa" linaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Dunia.
Kwa hiyo kundinyota "Kaa" linaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.
 
==Jina==
Mabaharia Waswahili walijua nyota hizi tangu miaka mingi kwa jina la Saratani wakizitumia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina la Saratani linatokana na Kiarabu <big>سرطان </big> ''sartan'' linalomaanisha kaa<ref>Ugonjwa wa saratani au kansa ulipokea jina lake kwa sababu matibabu wa Ugiriki ya Kale waliona uvimbe wake unafanana na miguu ya mnyama kaa.</ref>. Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Καρκίνος ''karnikos'' kwa maana hiyohiyo na hao walipokea kundinyota hili tayari kutoka [[Babeli]] lakini Wababeli waliiona kama alama ya kobe maji.
 
Katika vitabu kadhaa vya shule jina la Saratani limetumiwa kutaja sayari ya [[Zohali]] kwa kulichanganya na matamshi ya jina la Kiingereza "Saturn".
 
Jina la zamani, pia jina la Kilatini, ni sawa na ugonjwa wa [[saratani]] unaoitwa pia "kansa". Sababu yake ni ya kwamba matibabu wa kale walifananisha uvimbe wa ugonjwa na mnyama kaa na hili ni pia maana ya neno saratani.
 
== Mahali pake ==