Kilomita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama [[maili]] au [[verst]].
 
Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya [[astronomia]] kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya [[mwezi]] na [[dunia]] inaweza kutajwa kwa kilomita ni [[lakhi]] [[tatu]] au 300,000 km. Lakini umbali kutoka [[jua]] letu hadi [[nyota]] ya jirani [[Alpha Centauri]] ni mkubwa mno. Hapa kipimo cha [[mwaka wa nurumwakanuru]] hutumiwa.
 
[[Jamii:Vipimo vya urefu]]