Tofauti kati ya marekesbisho "Mwangaza unaoonekana"

4 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
* '''Mwangaza unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Jinsi uang‘avu ulivyo juu ndivyo kiasi cha "mag" kinakuwa kidogo.<ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu lenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya [[Rijili Kantori]] ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kuliko nyota kubwa zaidi ya [[Ibuti la Jauza]] kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
 
* '''Mwangaza halisi''' ni kipimo cha ukali wa nuru jinsi ingeonekana kwa mtazamaji aliyeko katika umbali sanifu. Umbali huu ulisanifishwa kuwa miaka ya nurumiakanuru 32.6<ref name=Laet29>Rony De Laet, ''The Casual Sky Observer's Guide: Stargazing with Binoculars and Small Telescopes'' (New York: Springer, 2012), p. 29</ref><ref> au [[parsec]] 10</ref> Kipimo hiki kinawaruhusu wanaastronomia kulinganisha uang‘avu wa magimba kwa kutumia umbali sanifu.
 
==Kipimo cha magnitudo==