Rijili Kantori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
[[Picha:Alpha Centauri relative sizes.svg|thumb|right|Uhusiano wa ukubwa wa nyota za Kantarusi na jua letu]]
 
Rijili Kantarusi (Alpha Centauri) inaonekana kama nyota moja lakini kwa darubini kubwa inaonekana kuwa mfumo wa nyota tatu zinazokaa karibu na kushikamana kati yao. Nyota mapacha za Alpha Centauri A na Alpha Centauri B ziko miaka ya nurumiakanuru 4.36 kutoka kwetu na nyota ya tatu Alpha Centauri C au [[Proxima Centauri]] ina umbali wa miaka ya nurumiakanuru 4.22.
 
Proxima Centauri (yaani nyota ya Kantarusi iliyo karibu zaidi nasi) imegunduliwa kuwa na [[sayari]] moja. Vipimo vinavyopatikana hadi sasa zinaonyesha uwezekano mkubwa ya kwamba sayari hii ni ya mwamba (kama dunia yetu, [[Mirihi]] au [[Zuhura]]) na inaweza kuwa na [[angahewa]], tena katika upeo wa joto unaoruhusu kuwepo kwa uhai. <ref>[https://phys.org/news/2017-05-scientists-tentative-explore-potential-climate.html Scientists take first tentative steps to explore potential climate of Proxima B], tovuti ya phys.org ya May 16, 2017 </ref>