Tofauti kati ya marekesbisho "Antara"

11 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
Antara - Antares ni [[nyota badilifu]] na [[mwangaza unaoonekana]] wake unabadilika kati ya Vmag +0.6 na +1.6. [[Mwangaza halisi]] ni -5.3. Hivyo no nyota angavu ya 15 kwenye anga ya usiku.
 
Antara iko katika umbali na [[Dunia]] wa [[miaka ya nuru|miaka nuru]] 550 – 600. [[Masi]] yake ni takriban [[M☉]] 15 na nusukipenyo chake [[R☉]] 680 (vizio vya kulinganisha na Jua letu). <ref> Schröder, K.-P.; Cuntz, M. (April 2007) </ref><ref>Ohnaka, K; Hofmann, K.-H; Schertl, D; Weigelt, G; Baffa, C; Chelli, A; Petrov, R; Robbe-Dubois, S (2013</ref>).
 
Ni [[nyota jitu kuu jekundu]] katika [[kundi la spektra]] M1.5 Iab-b. Inaitwa jitu kuu kwa sababu masi yake ni kubwa vile, mara 15 ya Jua. Ikiwa nyota jitu kuu jekundu ni nyota iliyopanuka baada ya kuishiwa [[hidrojeni]] katika [[kitovu]] chake; katika hali hii kitovu cha nyota kinajikaza na myeyungano wa hidrojeni unahamia kwenye tabaka za nje za nyota. Hii inasababisha kupanuka kwa nyota na kuongezeka kwa mwangaza wake. Kama Antara ingechukua nafasi ya Jua letu, sayari za [[Utaridi]], Zuhura, Dunia na Mirihi zingemezwa nayo maana kipenyo chake kinazidi obiti ya Mirihi.
143

edits