Salibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
Ndani ya eneo la Salibu kuna nyota 49 zinazoonekana kwa macho matupu lakini hasa zile nne angavu zaidi zinazounda umbo la msalaba au "Salibu". Hizi nyota nne zinajulikana kama Acrux, Becrux au Mimosa, Gacrux na Decux ambayo ni mafupisho ya majina marefu yaani [[Alfa]], [[Beta]], [[Gamma]] na [[Delta]] Crucis.
 
Gacrux inaonekana kwa darubini ndogo kuwa nyota pacha lakini hali halisi nyota zake mbili zina umbali wa miaka ya nuru 160 kati yao kwa hiyo zinaonekana tu kama nyota pachamaradufu. Nyota kubwa inayoonekana kwa macho ni [[jitu jekundu]] chenye umbali wa miaka ya nuru 88 kutoka Dunia.
 
==Tanbihi==