Tofauti kati ya marekesbisho "Njia nyeupe"

8 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (Protected "Njia nyeupe" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
 
==Umbo na umbali==
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hicho ni [[miakanuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miaka ya nurumiakanuru 3,000.
 
Galaksi iliyo karibu zaidi angani inaitwa [[galaksi ya Andromeda|Andromeda]] ikiwa na [[umbali]] wa miaka ya nurumiakanuru [[milioni]] 2.5.
 
Isipokuwa [[sayari]] za jua letu na [[kometi]] ''(zinazoonekana mara chache tu)'' na [[galaksi ya Andromeda]] ''(inayoonekana kama nyota 1)'', nyota zote ni kama jua letu.