Panji (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
 
==Nyota==
Nyota angavu zaidi ni α Alfa Doradus ambayo ni [[nyota pacha|nyota maradufu]] ambayo ni badilifu yenye [[uangavu unaoonekana|mwangaza unaoonekana]] wa 3.3 [[mag]] ikiwa umbali wa Dunia wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 176<ref> [http://stars.astro.illinois.edu/sow/alphador.html Alpha APS (Alpha Doradus)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
[[Wingu Kubwa la Magellan]] ambayo ni [[galaksi kibete]] jirani yenye nyota bilioni 15 iko mpakani kati ya Panji na [[Meza (kundinyota)| Meza]] (''[[:en: Mensa|Mensa]]''). Umbali wake na Dunia ni miaka ya nurumiakanuru 170,000.
 
==Tanbihi==