Mkataba kuhusu anga-nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
#Fungu na. 1 linatoa ruhusa kwa mataifa yote yanaruhusiwa kuendesha utafiti wa kiraia kwenye anga za nje
#Fungu na. II linakataza kutwaliwa kwa [[magimba ya anga]] (kama [[Mwezi]]) na taifa lolote; wakati ule ililenga hasa kuzuia nchi yoyote kuleta madai eti Mwezi ni mali yao.
#Fungu na. IV linakataza [[silaha za nyuklia]] na silaha nyingine za maangamizi ya watu wengi kupelekwa angani; hairuhusiwi kuanzisha vituo vya kijeshi kwenye anga la -nje au kwenye magimba ya anga
# Fungu na. VII linaeleza ya kwamba kila nchi inawajibika kwa hasara kutokana na shughuli zake katika anga la -nje (kwa mfano kuanguka kwa satelaiti au roketi kwa makazi ya watu mahali popote duniani)
 
Katika [[Afrika ya Mashariki]] [[Uganda]] (tangu 1968) na [[Kenya]] (1984) ni washiriki kamili wa mkataba huu; serikali za [[Rwanda]] na [[Burundi]] zilitia sahihi kwenye mwaka 1967 lakini bila kutafuta idhini ya bunge zao.