Mjusi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
==Nyota==
Mjusi –Lacerta ina nyota hafifu tu.
Nyota angavu zaidi ni Alfa Lacertae ambayo ni nyota yenye [[mag]] 3.8 ikiwa na umbali wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 102 kutoka Dunia.<ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/alphalac.html Alpha Lacerta], tovuti ya Prof Jim Kaler wa Chuo Kikuu cha Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Beta Lacertae ina mag 4.4 ikiwa na umbali wa miaka ya nurumiakanuru 170 kutoka kwetu.
 
==Tanbihi==