Salibu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 14:
Ndani ya eneo la Salibu kuna nyota 49 zinazoonekana kwa macho matupu lakini hasa zile nne angavu zaidi zinazounda umbo la msalaba au "Salibu". Hizi nyota nne zinajulikana kama Acrux, Becrux au Mimosa, Gacrux na Decux ambayo ni mafupisho ya majina marefu yaani [[Alfa]], [[Beta]], [[Gamma]] na [[Delta]] Crucis.
Gacrux inaonekana kwa darubini ndogo kuwa nyota maradufu lakini hali halisi nyota zake mbili zina umbali wa
==Tanbihi==
|