Suheli ya Tanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
 
Mstari 27:
 
==Tabia==
Suheli katika Tanga ni mfumo wa nyota angalau [[nne]], labda zaidi. Ilitazamwa tangu muda mrefu kuwa [[nyota pacha|nyota maradufu]] ya nyota mbili za A na B.
 
Kwa kutumia [[darubini]] kubwa zaidi na [[utafiti]] wa spektra ilionekana ya kwamba kila moja kati ya hizo mbili ni nyota pachamaradufu tena.
 
Gamma Velorum A ina sehemu mbili: moja ni [[nyota jitu kuu]] [[buluu]] na nyingine ni [[nyota ya Wolf-Rayet]] ambayo inatarajiwa kuendelea kuwa [[nyota nova|nova]] itakayofikia mwisho wake katika [[mlipuko]] mkubwa. Nyota hizo mbili ziko kwa [[umbali]] wa [[kizio astronomia]] kimoja zikizungukana katika [[muda]] wa [[siku]] 78.5.