Tofauti kati ya marekesbisho "Kituo cha Anga cha Kimataifa"

no edit summary
[[Picha:International Space Station after undocking of STS-132.jpg|thumb|300px|ISS mnamo mwaka 2010]]
'''Kituo cha Anga cha Kimataifa''' (kwa [[Kiingereza]] '''International Space Station''', '''ISS''') ni [[satelaiti]] inayozunguka [[Dunia]] katika [[anga la nje]] kwenye [[umbali]] wa takriban [[kilomita]] 400. ISS ilianzishwa kutokana na mapatano baina ya [[mamlaka]] za [[usafiri wa angani]] za [[NASA]] ([[Marekani]]), [[Roskosmos]] ([[Urusi]]), [[ESA]] ([[Umoja wa Ulaya]]), [[Japani]] na [[Kanada]].
 
==Ujenzi wa kituo==
 
==Shughuli kwenye ISS==
Kusudi kuu la kituo ni kuwa na [[maabara]] katika [[anga la nje|anga-nje]]. Katika [[mazingira]] yasiyo na [[graviti]] kuna nafasi ya kufanya [[jaribio|majaribio]] mengi katika [[fani]] za [[biolojia]], [[fizikia]], [[kemia]], [[tiba]] na [[astronomia]]. Kituo hiki kinabeba [[vifaa]] vinavyopima [[mialimwengu|mnururisho wa mialimwengu]] (ing. ''cosmic rays'') au mabadiliko ya [[nuru]] ya Jua.
 
==Viungo vya nje==
62

edits