V-2 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Fusée V2.jpg|thumb|Roketi ya V-2 iliyohiadhiwa kwenye eneo la makumbusho ya Peenemünde, Ujerumani]]
'''V-2''' ([[kifupi]] cha [[Kijerumani]] ''Vergeltungswaffe 2'', yaani "silaha ya kulipiza kisasi namba mbili") ilikuwa [[roketi]] ya [[Jeshi|kijeshi]] ya [[Ujerumani]] wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Ilikuwa chombo cha kwanza kilichotengenezwa na [[binadamu]] kilichofikia [[anga la nje|anga-nje]].
 
Roketi zote za kisasa hufuata kimsingi mfano wa V-2. Ilibuniwa na [[Mhandisi|wahandisi]] wa kijeshi na [[wanasayansi]] chini ya [[uongozi]] wa [[Werner von Braun]] kwenye kituo cha kijeshi cha [[Peenemünde]] kwenye [[mwambao]] wa [[Bahari Baltiki]]. Ikarushwa mara ya kwanza [[tarehe]] [[3 Oktoba]] [[1942]] ikifikia [[kimo]] cha [[kilomita]] 84.5. Tarehe [[20 Juni]] [[1944]] ilifikia kimo cha kilomita 174.6 na kuvuka mpaka wa anga la -nje uliopo kwa kilomita 100.
 
Kusudi la kubuni V-2 lilikuwa kubeba [[mabomu]] kwa [[miji]] ya [[Ulaya]], hasa [[Uingereza]], ambako [[jeshi la anga]] la Ujerumani lilikutana na upinzani mkali wa Waingereza. V-2 za kwanza zilizotumiwa kama silaha zilipiga [[Paris]] na [[London]] tarehe [[8 Septemba]] 1944. Zaidi ya V-2 3000 zilirushwa na jeshi la Kijerumani dhidi ya shabaha za wapinzani wake zikaua takriban [[watu]] 7,200.
 
Baada ya [[vita]] [[Wamarekani]] na [[Warusi]] walikamata [[wataalamu]] wa Peenemünde na kuwatumia kuanzisha miradi ya roketi kwao. Kwa njia hii Werner von Braun aliendelea kuwa [[mkurugenzi]] wa kituo cha [[Marshall Space Flight Center]] akaitwa "Baba wa miradi ya anga la -nje".
 
{{tech-stub}}