Yuri Gagarin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Alimwoa Valentina Goryachova akawa na mabinti wawili ambao ni Galina na Yelena. Akajiunga na Jeshi la Anga ya Urusi mwaka 1955.
 
Mwaka 1960 aliteuliwa katika kikosi cha kwanza cha marubani walioandaliwa kurushwa kwa anga la -nje akateuliwa kuwa mtu wa kwanza wa kutoka duniani.
 
Tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] alirushwa na chombo cha angani [[Vostok]] 1 akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa dakika 108. Akashuka [[Siberia]].