Rasi Madusa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 16:
| majina mbadala = <small> Gorgona, Gorgonea Prima, Demon Star, El Ghoul, 26 Persei, BD+40°673, FK5 111, GC 3733, HD 19356, HIP 14576, HR 936, PPM 46127, SAO 38592. </small>
}}
[[Picha:Eclipsing binary star animation 2.gif|350px|thumb|Mfano jinsi gani nyota badilifu inatokea kama nyota pachamaradufu zinazungukana na kufunikana]]
''' Rasi Madusa''' (ar., lat. & ing. '''Algol''' pia '''<big>β</big> Beta&nbsp;Persei''' <ref>Persei ni [[uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' wa "Perseus" katika lugha ya [[Kilatini]] na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile [[Beta]], [[Beta]], [[Gamma]] Persei, nk.</ref>, kifupi '''Beta Per''', '''β&nbsp;Per''') ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la [[Farisi (kundinyota)|Farisi]] (''[[:en:Perseus (constellation)|Perseus]]''). Rasi Madusa ni [[nyota geugeu|nyota badilifu]]<nowiki/>iliyotambuliwa tayari na wataalamu wa Misri ya Kale<ref> Porceddu, S. & alii (2008)</ref>.
 
==Jina==
Mstari 26:
 
==Tabia==
Rasi Madusa iko kwa umbali wa [[miaka ya nuru]] takriban 90 kutoka [[Jua]] letu. Ni [[nyota geugeu|nyota badilifu]] inayobadilisha [[mwangaza unaoonekana]] baina ya mag 2.3 na 3.5 kila baada ya karibu siku tatu <ref>Siku 2.87 yaani siki mbili na masaa 20 na dakika 48 </ref>. Mabadiliko haya yalitazamiwa tangu kale na Waarabu waliita pia „Nyota ya Sheitani“. Tofauti za mwangaza zinatokana na tabia za Rasi Madusa kuwa [[nyota pacha|nyota maradufu]] ambako nyota yenye mwangaza mdogo inazunguka nyota yenye mwangaza mkubwa. Hizi mbili zinatambuliwa kwa darubini na nyota kuu inaitwa Algol Aa1 iliyopo katika kundi la spektra B8 na mng’aro wa Lo 182 (yaani mara 182 kuliko Jua). Inazungukwa na Algol Aa2 ambayo ni jitu jekundu, ni kubwa zaidi lakini mwangaza wake ni mdogo. Nyota hizi mbili ziko karibu kwa umbali wa vizio astronomia 0.062 na kila safari nyota kubwa zaidi iko kati ya Dunia na Algol Aa1 tunaona kushuka kwa mwangaza.
 
Kuna bado nyota ya tatu Algol Ab yenye umbali wa vizio astronomia 2.69 na zote tatu zinazungukana katika muda wa siku 681. Masi ya nyota zote kwenye mfumo huu ni takriban Mo 5.8, ikiwa uhusiano kati ya sehemu tatu ni takriban 4.5 : 1 : 2.