Mkuku (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 19:
Mkuku - Carina ni kundinyota kubwa lenye nyota nyingi. [[Suheli]] (''[[:en:Carina|Carina]]'') au <big>α</big> Carinae ni nyota angavu sana , ni ya pili kwenye anga ya usiku baada ya [[Shira]] (Sirius). Ina [[mwangaza unaoonekana]] wa [[mag]] -0.72 ikiwa umbali wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 310 na Dunia<ref>[http://www.constellation-guide.com/canopus/ Canopus]], tovuti ya Constellation Guide, iliangaliwa Oktoba 2017</ref><ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/canopus.html Canopus (Alpha Carinae)], Tovuti ya Prof. Jim Kaler</ref>.
 
Eta Carinae ni [[nyota pacha|nyota maradufu]] ya nyota mbili au zaidi iliyowaka ghafla mwaka 1843 ikaonekana angavu kushinda Suheli<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/carina.htm Star Tales - Carina], tovuti ya Ian Ridpath</ref>. Sasa nyota zake zimo ndani ya [[nebula]] Homunculus ambayo ni wingu angavu lililobaki baada ya mlipuko wa [[supanova]] ile. <ref>[http://www.constellation-guide.com/eta-carinae/ Eta Carinae], tovuti ya Constellation Guide</ref>