Kipimaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Kipimaanga" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 8:
* kipimaanga kunachoingia katika [[njiamzingo]] ya kuzunguka gimba la angani inapoendelea kukusanya data zake kwa [[muda]] mrefu kiasi
* kipimaanga kinachotua kwenye [[uso]] wa gimba la angani
* kipimaanga kinachorudi duniani baada ya kukusanya [[sampuli]] za [[mata]] ya gimba la angani, [[angahewa]] yake au vyembe kutoka anga la -nje
Kipimaanga cha kwanza kilikuwa [[Luna 1]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]] kilichopita karibu na [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] kwenye [[Januari]] [[1959]]. Kilikusanya data kuhusu [[Ukanda wa van Allen]] na kuthibitisha kuwepo kwa [[upepo wa Jua]].