Zoraki (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 19:
Nyota angavu zaidi ni Ankaa au <big>α</big> Alfa Phoenicis yenye [[uangavu unaoonekana]] wa mag 2.37 ikiwa na umbali wa Dunia wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 77. Hii ni nyota jitu nyekundu <ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/Ankaa.html Ankaa (Alpha Phoenicis)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref> <ref>{{cite web |url = http://simbad.u-strasbg.fr/simbad/sim-id?Ident=Alpha+Phoenicis&NbIdent=1&Radius=2&Radius.unit=arcmin&submit=submit+id |title = Alpha Phoenicis |work = SIMBAD Astronomical Database|publisher=Centre de Données astronomiques de Strasbourg |accessdate = 25 August 2012}}</ref>. Ni sehemu ya mfumo pamoja na nyota ya pili ndogo inayoizunguka. Jina la Ankaa ni tahajia ya Kilatini kwa kiarabu عنقاء ankaa ambayo ni tafsiri ya "Phoenix" ya Kigiriki; lakini Waarabu wenyewe kiasili hawakutumia jina hili lilitungwa na wanaastronomia wa Ulaya waliotumia majina mengi ya Kiarabu kwa kutaja nyota.
 
Nyota angavu ya pili ni <big>β</big> Beta Phoenicis ambayo ni pia [[nyota pachamaradufu]]. Zikionekana kwa pamoja pande zake mbili zina mwangaza unaoonekana wa mag 3.31. Zinazungukana katika kipindi cha miaka 168. Umbali haikupimwa vizuri bado, makadirio ni kati ya miakanuru 165 hadi 180.<ref name="kalerbeta">{{cite web|url=http://stars.astro.illinois.edu/sow/betaphe.html |title=Beta Phoenicis |last=Kaler|first=Jim|work=Stars|publisher=University of Illinois|accessdate=24 August 2012}}</ref>.
 
==Tanbihi==