Nusukipenyo ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Nusukipenyo cha Jua''' (ing. ''[[:en:solar radius|solar radius]]'') ni nusu ya [[kipenyo]] cha [[Jua]] letu na hivyo sawa na umbali wa kilomita 696.342 au mara 109 [[nusukipenyo]] cha Dunia<ref>Marcelo Emilio et al.: ''Measuring the Solar Radius from Space during the 2003 and 2006 Mercury Transits.'' In: ''Astrophysical Journal'' Bd. 750, Nr. 2, {{Bibcode|2012ApJ...750..135E}}, {{Doi|10.1088/0004-637X/750/2/135}}</ref>.
 
Umbali huu hutumiwa kama [[kizio]] katika sayansi ya [[astronomia]] kwa kutaja ukubwa wa magimba kwenye [[anga la nje|anga-nje]] hasa [[nyota]].
 
Mfano wa matumizi yake ni mfumo wa Dunia na Mwezi: umbali kati ya Dunia na Mwezi ni takriban kilomita 384.400 au asilimia 55 za nusukipenyo cha Jua. Kama Jua lingechukua nafasi ya Dunia njia ya obiti ya Mwezi ingekuwa ndani ya Jua lenyewe.