Madhabahu (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Madhabahu (kundinyota)" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 9:
 
==Nyota==
Nyota angavu zaidi ni α Alfa Arae yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa 2.93 [[mag]] ikiwa umbali kutoka Dunia wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 270 na Beta Arae yenye mwangaza wa 2.85. Kuna nyota 7 zenye [[sayari]]. Mu Arae inayofanana na Jua ina sayari nne na Gliese 676 ambayo ni nyota kibete nyekundu ina sayari nne pia.
 
==Tanbihi==