Nyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
== Nyota ni magimba makubwa ==
Kwa kutumia [[darubini]] na vifaa vya kisayansi imegunduliwa ya kwamba ni [[Gimba la angani|magimba]] makubwa sana katika [[anga la nje|anga ya -nje]] yanayong'aa kwa sababu yanatoa [[mwanga]], [[joto]] na aina mbalimbali za [[mnururisho]] kutokana na [[myeyungano wa kinyukilia]] ndani yake. Lakini ziko mbali sana na kwa hiyo tunaziona kama [[nukta]] ndogo za nuru. Kwa jumla nyota zinaonekana kwenye anga kwa mpangilio usiobadilika, na kila nyota huwa na mahali pake pasipobadilika kati ya nyota nyingine, hata kama nyota kwa jumla zinazunguka angani juu yetu kila siku.
 
Leo tunajua ya kwamba nyota zote huwa na mwendo kwenye anga lakini mabadiliko haya hutokea polepole hayaonekani katika muda wa maisha ya binadamu. Lakini tunajua kutokana na habari za kihistoria ya kwamba mabadiliko yapo.<ref>Mfano wake ni mabadiliko ya [[Kutubu#Kutubu_kama_Nyota_ya_Ncha_ya_Kaskazini|nyota karibu na cha ya anga ya kaskazini]]</ref>