Ayuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 32:
 
==Tabia==
Ayuki - Capella ilitambuliwa baada ya kupatikana kwa darubini bora zaidi si nyota moja bali [[nyota pacha|nyota maradufu]] katika mfumo wa nyota nne. Zinakaa kama jozi mbili za mapacha.
 
Jozi ya kwanza ni nyota mbili kubwa zinazoitwa Capella Aa na Capella Ab. Jozi ya pili ni nyota ndogo zinazokaa kwa umbali wa [[vizio astronomia]] 9,500 kutoka Aa-Ab na hizi zinaitwa Capella H na Capella L.