Simaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 33:
Masi yake ni [[M☉]] 1.08 na nusukipenyo chake [[R☉]] 25.4 (vizio vya kulinganisha na Jua letu) <ref> I. Ramírez; C. Allende Prieto (December 2011)</ref>. Ni [[nyota jitu jekundu]] katika kundi la spektra K0 III. Ilhali masi yake inalingana takriban na Jua letu kipenyo chake ni kubwa zaidi mara 25 na sababu yake ni ya kwamba jitu jekundu ni nyota iliyopanuka baada ya kuishia hidrojeni katika kitovu chake; katika hali hii kitovu cha nyota kinajikaza na myeyungano wa hidrojeni unahamia kwenye tabaka za nje za nyota. Hii inasababisha kupanuka kwa nyota na kuongezeka kwa mwangaza wake.
 
Kuna dalili ya kwamba Simaki ni nyota pachamaradufu lakini hii haijathibitishwa bado. <ref> Verhoelst, T.; Bordé, P. J.; Perrin, G.; Decin, L.; et al. (2005). "Is Arcturus a well-understood K giant?", tazama chini</ref>
 
==Tanbihi==