Maliki Junubi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Maliki Junubi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
dNo edit summary
Mstari 32:
Iko angani karibu na mstari wa [[ekliptiki]], hivyo inafunikwa mara nyingi na Mwezi.
 
Maliki Junubi ni mfumo wa nyota pachamaradufu nne au labda zaidi. Nyota kuu ni Regulus A iliyo na rangi ya buluu-nyeupe na masi ya 3.5 Inafuatana na [[nyota kibete nyeupe]] yenye masi ya [[M☉]] 0.3 na zote mbili zinazunguka kwa pamoja kitovu chao cha graviti katika muda wa takriban siku 40.<ref> Rappaport, S.; Podsiadlowski, Ph.; Horev, I. (2009)</ref>.
 
Nyota mbili nyingine ya mfumo huu zinaitwa B na C zikiwa umbali wa vizio astronomia 5,000 kutoka A.