Federation Aeronautique Internationale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Federation Aeronautique Internationale (FAI)''' ni jina rasmi la Shirikisho la Kimataifa kwa Michezo katika Angahewa. Michezo katika angahewa pamoja na mash...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Federation Aeronautique Internationale (FAI)''' ni jina rasmi la Shirikisho la Kimataifa kwa Michezo katika Angahewa. Michezo katika angahewa pamoja na mashindano inaendeshwa kwa kutumia eropleni ndogo za burudani, ndege za [[nyiririko]], [[parachuti]] na [[puto]].
 
Shirikisho hili lilianzishwa mwaka [[1905]] mjini [[Paris]] na makao makuu yapo [[Lausanne]], [[Uswisi]]. Shirika inatambuliwa kimataifa kam mtunza wa rekodi katika fani hizi pamoja na usafiri kwenye anga la -nje.
 
==Viungo vya nje==