Shira (nyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 31:
Shira - Sirius ina [[mwangaza unaoonekana]] wa -1.46 mag na [[mwangaza halisi]] ni 1.43. <ref>Bond &al, uk 4 </ref>. Ni nyota ya karibu na umbali wake na Dunia ni [[miaka ya nuru]] 8.60 <ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/Sirius.html SIRIUS (Alpha Carinae)], tovuti ya Prof Jim Kaler, University of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Shira si nyota 1 tu bali [[nyota pacha|nyota maradufu]]. Tangu karne ya 19 inajulikana ya kwamba hapa kuna nyota kubwa inayoitwa sasa Sirius A pamoja na nyota ndogo Sirius B. Zote mbili zinashikamana zikizungukuka kitovu cha graviti cha pamoja (ing. ''[[:en:barycenter|barycenter]]''). Vipimo vya mwendo wa Shira B vinaonyesha uwezekano wa kuwepo kwa nyota ndogo ya tatu lakini Shira C haikuthibitishwa bado.<ref>[http://articles.adsabs.harvard.edu/cgi-bin/nph-iarticle_query?1995A%26A...299..621B&amp;data_type=PDF_HIGH&amp;whole_paper=YES&amp;type=PRINTER&amp;filetype=.pdf Benest-Duvent: Is Sirius a triple star?], Astronomy and Astrophysics, 299, 621-628 (1995), tovuti ya chuo Kikuu cha Harvard, iliangaliwa Novemba 2017</ref> Shira A na B zinazungukana kwa umbali kati ya [[vizio astronomia]] 8.2 na 31.5.
 
Masi ya Shira A ni [[M☉]] 2.02 na nusukipenyo chake [[R☉]] 1.711 (vizio vya kulinganisha na Jua letu) <ref>Liebert &al, uk 4 kwa kurejea Holberg na Kervella</ref>.