Zubani Junubi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 28:
 
==Tabia==
<big>α</big> alfa Librae iko kwa [[umbali]] wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 77 kutoka [[Jua]] letu. Ni [[nyota pacha|nyota maradufu]] inayoonekana kwa [[darubini]] kuwa na nyota [[mbili]] ndani yake zinazoitwa α<sup>1</sup> Librae na α<sup>2</sup> Librae. α<sup>2</sup> ni nyota angavu zaidi na umbali kati ya sehemu hizi mbili ni [[vizio astronomia]] 5.400. Vipimo vya spektra vinaonyesha ya kwamba kila moja ni nyota maradufu tena kwa hiyo Zubani Junubi ni mfumo wa angalau nyota [[nne]] zinazozungukana kwa namna ya jozi mbili za nyota.
 
==Tanbihi==