Sharatani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 28:
==Tabia==
 
Sharatani ni nyota iliyopo katika kundi la spectra A inayoyeyunganisha hidrojeni kuwa heliamu. Iko kwa umbali wa miaka ya nuru 60 hivi kutoka kwetu. Ikiwa na jotoridi ya nyuzi za Kelvin 9000 usoni wake ni ni moto kushinda Juan a pia mng’aro wake unazidi ule wa Jua mara 23. Utafiti wa spektra unaonyesha ya kwamba kuna nyota msindikizaji ambao hauonekani kwa darubini ua kuangalia nuru ya kawaida lakini imewezekana kuipima na kuthibitisha hapa kuna nyota pachamaradufu yenye sehemu mbili za A na B.
 
==Tanbihi==