Darubini ya anga-nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[file:Hubble 01 Cropped.jpg|thumb|450|[[Darubini ya Angani ya Hubble|Hubble]] ni moja ya darubini ya angani mashuhuri]]
'''Darubini ya angani''' ([[ing.]] ''Space observatory'' au ''space telescope'') ni kifaa hasa [[darubini]] kilichorushwa katika [[anga la nje|anga-nje]] kwa kusudi la kuangalia na kupima violwa vya mbali kama vile [[nyota]], [[sayari]], [[galaksi]] na magimba mengine. Faida yake ni ya kwamba inaweza kuchungulia violwa hivi nje ya [[angahewa|angahewa ya Dunia]]. Angahewa ni kama chujio inayozuia sehemu za spektra ya [[Mnururisho wa sumakuumeme|mawimbi ya sumakuumeme]] pia huwa na mwendo ndani yake unaoleta machafuko wa namna ya kuona nyota. Kwa hiyo darubini za angani zinaweza kuleta matokeo mazuri zaidi kushinda vifaa kwenye [[paoneaanga]] duniani.
 
Darubini za angani kwa kawaida ziko kwenye [[obiti]] ya kuzunguka Dunia au zinawekwa kwa umbali ambako [[graviti]] ya Jua na Dunia inajisawazisha yaani kwenye [[nukta ya Lagrange]]. [[Darubini ya angani ya Spitzer]] inafuata obiti ya kuzunguka Jua.