Antara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
 
Mstari 17:
Ni [[nyota jitu kuu jekundu]] katika [[kundi la spektra]] M1.5 Iab-b. Inaitwa jitu kuu kwa sababu masi yake ni kubwa vile, mara 15 ya Jua. Ikiwa nyota jitu kuu jekundu ni nyota iliyopanuka baada ya kuishiwa [[hidrojeni]] katika [[kitovu]] chake; katika hali hii kitovu cha nyota kinajikaza na myeyungano wa hidrojeni unahamia kwenye tabaka za nje za nyota. Hii inasababisha kupanuka kwa nyota na kuongezeka kwa mwangaza wake. Kama Antara ingechukua nafasi ya Jua letu, sayari za [[Utaridi]], Zuhura, Dunia na Mirihi zingemezwa nayo maana kipenyo chake kinazidi obiti ya Mirihi.
 
Antara ina nyota msindikizaji kwa hiyo iki katika mfumo wa nyota pachamaradufu. Nyota hii ya pili huitwa α Scorpii B. Ni ndogo kuliko α Scorpii A yaani Antara ikiwa na masi ya [[M☉]] 7 na nusukipenyo cha [[R☉]] 5<ref>Kudritzki, R. P.; Reimers, D. (1978)</ref> . Ni [[nyota za safu kuu|nyota ya safu kuu]] ikiwa katika [[kundi la spektra]] B2. Kutokana na mwangaza mkubwa wa Antara yenyewe si rahisi kuiona iligunduliwa wakati Mwezi ulipita mbele ya nyota kuu na kuifunika.
 
==Tanbihi==