Pembetatu ya Kusini (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
 
==Nyota==
Kundinyota hili lilipokea jina lake kutokana na nyota zake tatu angavu zaidi zinazoonekana kwa umbo la pembetatu. Hizi ni <big>α</big> Alfa Trianguli Australis (pia: Atria) pamoja na <big>β</big> Beta na <big>γ</big> Gamma Trianguli Australis. <big>α</big> Alfa Trianguli Australis ni [[nyota jitu]] yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa [[mag]] 1.91 ikiwa na umbali wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 424 kutoka [[Dunia]].<ref>Schaaf, Fred (2008), The Brightest Stars: Discovering the Universe Through the Sky's Most Brilliant Stars, Hoboken, New Jersey: John Wiley and Sons, ISBN 0-471-70410-5, uk. 263–65.</ref>
 
<big>β</big> Beta Trianguli Australis ni [[nyota pacha|nyotamaradufu]] yenye mwangaza wa [[mag]]2.85 ikiwa umbali wa miakanuru 40.