Kilimia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
== Tabia za kiastronomia ==
Kwa macho nyota sita hadi saba zinaonekana vizuri sana, na hadi 14 kwa macho mazuri. Lakini kwa darubini kilimia ni fungunyota lenye nyota 1,200. Umbali wake na jua letu ni [[miaka ya nuru|miakanuru]] 410. Umri wake hukadiriwa kuwa miaka milioni 125.
 
== Ishara ya mvua ==