Ombwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ kiungo
No edit summary
Mstari 1:
'''Ombwe''' ([[ing.]] ''vacuum'') kwa maana ya sayansi ni hali pasipo na kitu, nafasi pasipo na [[mata]]. Neno hutumiwa hasa kwa hali pasipo na [[gesi]] au [[angahewa]]. Katika lugha nyingi za dunia neno la kilatini "vacuum" hutumiwa.
 
Hali halisi si rahisi kupata mahali duniani pasipo na kitu chochote kabisa. Mara nyingi [[anga la nje|anga-nje]] la ardhi yetu huitwa "ombwe". Lakini hata katika ombwe hii kuna mata kidogo. Kwa hiyo "Ombwe" mara nyingi ni hali ambako kiasi cha gesi au hewa kimepungukiwa sana ndani ya chombo na hapa kuna matumizi ya kiuchumi kwa mfano kutunza vyakula ndani ya mifuko ambako hewa nyingi imetolewa nje na hivyo vyakula vinadumu muda mrefu zaidi kwa sababu ya uhaba wa oksijeni ndani ya mfuko.
 
== Marejeo ==