Triti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Triti''' (pia '''tritiumu'''<ref>"Triti" inafuata muundo wa istilahi za KAST, "tritiumu" ni pendekezo la KSBFK</ref>, ing. '''Tritium...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Triti''' (pia '''tritiumu'''<ref>"Triti" inafuata muundo wa istilahi za [[KAST]], "tritiumu" ni pendekezo la [[KSBFK]]</ref>, ing. '''[[:en:Tritium|Tritium]]''') ni [[isotopi]] nururifu ya [[hidrojeni]] yenye masi atomia 3.016. Triti ina [[protoni]] moja na [[nyutroni]] mbili. [[Kiini cha atomu|Kiini]] cha hidrojeni ya kawaida haina nyutroni bali protoni moja tu. Alama ya Triti ni '''<sup>3</sup>H''' bali '''T''' hutumiwa pia.
 
Katika mazingira asilia triti hutokea kwa kiasi kidogo sana kutokana na [[mnururisho]] kutoka [[anga la nje|anga-nje]] unapopasua atomu za [[nitrojeni]] hewani. Triti nu [[nururifu]] na [[nusumaisha]] yake ni mnamo miaka 8 tu hivyo inapotea haraka. Triti inatengenezwa katika [[tanuri nyuklia]] kwa matumizi mbalimbali.
 
Kuna isotopi nyingine ya hidrojeni inayoitwa [[duteri]] yenye nyutroni moja.