Chombo cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Chombo cha angani hadi Chombo cha anga-nje
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Atlantis-MIR-GPN-2000-001071.jpg|250px|thumbnail|[[Feri]] ya angani Atlantis ikiondoka kwenye [[kituo cha anga]] MIR tarehe [[4 Julai]] [[1995]].]]
'''Chombo cha anganianga-nje''' ni [[chombo cha usafiri|chombo kwa ajili ya kusafiri]] katika [[anga-nje]] ya [[dunia]] yetu.
 
Vyombo vya anga vinaundwa kwa [[kazi]] nyingi pamoja na [[mawasiliano]], kubeba vifaa vya kutazama dunia au [[hali ya hewa]], kufanyia [[utafiti]] [[sayari]] nyingine au kusafirisha [[watu]] na mizigo.
Mstari 6:
Vyombo vingine vinaingia kwa [[muda]] mfupi tu juu ya [[angahewa]] bila kumaliza [[mzingo]] wa dunia. Vingine vinazunguka kwenye mzingo kwa muda mrefu hata miaka.
 
Chombo cha anganianga-nje cha kwanza kilikuwa [[Sputnik 1]] kilichorushwa na [[Umoja wa Kisovyeti]] mwaka [[1957]] na kuzunguka dunia kwa miezi 3. Kilifuatwa na chombo cha [[Marekani]] "Explorer 1" mwaka [[1958]].
 
Mtu wa kwanza kwenye anga-nje alikuwa [[Mrusi]] [[Yuri Gagarin]] aliyerushwa na Umoja wa Kisovyeti kwa chombo cha [[Vostok 1]] [[tarehe]] [[12 Aprili]] [[1961]] na kumaliza mzingo mmoja wa dunia.